CharlesVenny's Profile
Sophomore
76
Karma

Questions
3

Answers
16

 • Sophomore Asked on December 13, 2019 in Swali la Kizushi.

  Darubini (telescope) ni kifaa kinachotumika kufanya uchunguzi (observation) wa vitu kama nyota na sayari nyingine

  Hadubini(microscope) ni kifaa kinachotumika kuchunguza wadudu wadogo na bacteria katika maabara

  This answer accepted by James Chungu. on December 13, 2019 Earned 5 points.

  • 436 views
  • 1 answers
  • 0 votes
 • Sophomore Asked on November 14, 2019 in Swali la Kizushi.

  Sayari zote ni za mviringonkwa sababu ya nguvu tunayoita “Gravity”. Nguvu hii ina weka mvutano kama wa sumaku ambao upo sawa katika kila pande ya sayari, hivyo kupelekea umbo la mviringo la sayari hizi.
  Chukulia spoke za baiskeli ambazo zinashilia tairi katikati na kufanya libaki kuwa duara. Ukitoa spoke zile tairi hupindi. Na ndivyo hivyo nguvu ya gravity inafanya katika sayari zote.

  • 377 views
  • 1 answers
  • 0 votes
 • Sophomore Asked on November 14, 2019 in Technology.

  Changamoto pekee imenikumba ni kucheleweshewa mzigo. Nimetumia Amazon, Ebay, Aliexpress pamoja na kikuu. Kati ya hizi nimefurahishwa zaidi na Amazon pamoja na Ali express

  • 482 views
  • 3 answers
  • 0 votes
 • Sophomore Asked on November 14, 2019 in sayansi.

  Sijajua kuhusu ndoto uhusiano upo vipi, lakini kisayansi kitu watu huita jinamizi huwa inaitwa “Sleep paralysis”. Ambayo ni ile hali mtu anakuwa kati ya kulala na kuamka. Hali hii inafanya akili kuwa imeamka lakini viuongo vingine vyote vinakuwa vimelala bado. Moja wapo ya sababu ya Sleep Paralysis ni kulalia mgongo. Hali hii humfanya mtu kuogopa mno na wakati mwingine wengine hudhani kwamba wanafanyia uchawi 😂😂.

  Hakuna jinamizi hapo ni hali tu ya kiafya ya ubongo na mwili wako

  • 483 views
  • 2 answers
  • 0 votes
 • Sophomore Asked on November 14, 2019 in sayansi.

  Inafahamika vizuri sana kwamba kitu cheusi kina sifa ya kunyinya na kutoa vizuri sana joto. Lakini kama mazingira yanayokizunguka yana joto la kuzidi kitaendelea kufyonza joto hilo na chenyewe pia kupata joto.
  Kwa vantablack kulingana na wao rangi hiyo wameweza iwekea layer flani kwa chini ambayo inakuwa kama kitu kwenye computer tunachouta heat sink. Kitu hichi kinauwezo wa kupooza joto hili bila kulipeleka mahali popote hivyo kitu kingine kilochopo juu yake kuto athiriwa na joto hilo.

  Hivyo joto lote linalofyonzwa na vantblack huishia kwenye heat sink hiyo na kuicha rangi hiyo ikiwa bado ya baridi bila kuwa na joto lenye athari yoyote ile

  • 630 views
  • 1 answers
  • 0 votes
 • Sophomore Asked on November 14, 2019 in Swali la Kizushi.

  Ukifanya kwamba zipo katika maumbo yaliyo sawa na hata kama uzito ni tofauti haziwezi tofautiana mda wa kufika ardhini. Hiyo ni kwasababu uzito wa kitu haihisiani na free fall ya kitu kutoka juu. Nguvu pekee itakayokuwa inafanya kazi katika vitu hivyo ni gravity ma hiyo ni kutoka na hesabu za fizikia zilizo fanyiwa majaribio na uhakiki

  RE: Je, chuma kizito na mbao nyepesi vikidondoshwa toka angani kipi kitawahi ardhini?

  • 555 views
  • 2 answers
  • 0 votes
 • Sophomore Asked on November 14, 2019 in Biology.

  Kusema kwamba binadam tunatumia asilimia 10 ya ubongo wetu inategemeana tunaongelea Katika uvumi upi. Kisayansi na hasa sayansi ya kibaiolojia hii kitu ni haiwezekani. Kuna kitu katika ubongo wa binadam kinaitwa “Brain cortex” au mda mwingine huitwa “cerebrum”. Hii ni sehem inayofanya kazi ya kufikiria, kuunda na kuelewa. Inapitisha nerves nyingi mno ambazo ziko busy mda wote kupeleka na kupokea taarifa 24/7/365 mpaka pale ubongo unapokufa. Sehem hii hufanya kazi kwa asilimia 100% katika wakati wote. Iwapo zikipungua walau 10% kuna uwezekano ukaanza pata matatizo ya kiafya kama epileptic seizure au brain tumor.

  Kwa hapo nadhani ni sahihi kusema kuwa si kweli kwamba tumetumia 10% ya ubongo wetu. Tofauti na hivyo theory hiyo ingekuwa kweli ningesema movie inayoitwa “LUCY” iliyochezwa na Scarlet Johanson pamoja na Freeman Morgan itaelezea vizuri uwezakano wa unachokisema

  RE: Je, ni kweli binadamu tunatumia asilimia 10 ya uwezo wa ubongo?

  • 361 views
  • 2 answers
  • 1 votes
 • Sophomore Asked on October 6, 2019 in internet.

  Mtu aliupdate status yake facebook na kunitag ikasema “getting pregnant with Charles venny and 40 others”

  • 490 views
  • 4 answers
  • 0 votes
 • Sophomore Asked on August 21, 2019 in Sports.

  kwa timu yenye nguvu sana naweza sema ni Manchester United kwa kuwa ndo timu pekee katika PES19 na FIFA19 ambayo wachezaji wake hawachoki haraka na wanakaba sana. Ikifuatiwa na Bayern munich. Lakini tukiacha hayo yote hutegemeana na aina ya uchezaji wako. Hivyo unamaanisha nguvu katika maana gani?

  This answer accepted by JohnNkya. on August 21, 2019 Earned 5 points.

  • 451 views
  • 2 answers
  • 0 votes
 • Sophomore Asked on August 6, 2019 in Technology.

  Ndiyo, Ni kweli kwamba Elon Musk ni Mwafrika aliyezaliwa Nchini South Africa. Aliishi huko nadhani mpaka alipofikisha umri wa miaka 12. Kabla hajaondoka SA na kwenda Marekani alionesha kuwa vizuri sana katika suala la kuandika programu za computer. Hilo ndilo suala kubwa lililompeleka Musk kumalizia masomo yake nje. Na baadae kufanikiwa ambapo kati ya mwaka 1997 mpaka 2001 alifanikiwa kuunda baadhi ya programu na akafanyikuwa kufanya biashara yake ya kwanza na huduma ambayo sasa tunaita “paypal” ambayo aliuza kwa $71 mil na kilichofata ni historia ambapo kila mwaka amekuja na kitu kipya ukiondoa mwaka 2018 ambao hakuleta kitu kipya chochote.

  This answer accepted by Andrew. on August 18, 2019 Earned 5 points.

  • 467 views
  • 2 answers
  • 0 votes