Augustino mruma's Profile
Senior
695
Karma

Questions
30

Answers
177

 • Senior Asked on November 6, 2019 in Sports.

  Tatizo ni kipaumbele cha serikali na mashirika ya michezo yasiyo yakiserikali nchini kuwekeza katika michezo hiyo kwani ,,ukiangalia hata mashabiki wa michezo kama hiyo ninwakutafuta kwa tochi maana wengi wao hawajawai hata kuona iyo rugby inavochezwa….Utamaduni pia ni chanzo,,michezo kama rugby yaani haifaamiki kabisa hivyo kufanya soko lake nchini kuwa duni

  • 308 views
  • 1 answers
  • 0 votes
 • Senior Asked on September 23, 2019 in dini.

  Hivyo mimi kama mimi kwa kadiri ya imani yangu naweza nikasema kuwa NDIO kuna watu wameshakwenda mbinguni, nao ndio Watakatifu waliofanya mema duniani na sasa wapo mbinguni wakionana uso kwa uso na mwenyezi Mungu,,,

  Na yesu alishawahi kusema kuwa shambani kwa baba yangu kuna mazao mengi lakini watenda kazi ni wachache,, yaani watu niwengi lakini watenda mema ni wachache… Nao ndio huenda mbinguni

  • 523 views
  • 4 answers
  • 0 votes
 • Senior Asked on September 23, 2019 in dini.

  Tatizo ni kwamba hakuna mtu aliyekwisha kufa na akarudi tena duniani (kufufuka), isipokua Yesu peke yake ambae nae ni Mungu na si mtu wa kawaida kwa mujibu wa maandiko matakatifu..

  Haya ni maswala mazima ya kiimani, na ni mapokeo kutoka kwa vizazi vilivyotangulia katika dini fulani, kwamba kuna maisha baada ya kifo yaani kwenda mbinguni mara baada ya kufa..japo hakuna mtu mwenye ushahidi kwa mambo hayo lakini ni imani ambayo watu wanaisadiki” mimi mwenyewe ni mmojawapo wawanaosadiki imani hii”

  Lakini pia sio kila mtu anaaminu kuhusu habari za mbinguni,,zipo dini , makundi na watu wengine ambao hawaamini kwamba kuna maisha baada ya kufa…wao huamini kua mtu akifa amekufa.

  • 523 views
  • 4 answers
  • 0 votes
 • Senior Asked on September 20, 2019 in afya.

  Uchafu unasababishwa na kuweka kitu sehemu isiyo mahali pake…
  Mfano:• sahani za chakula zikiwekwa chumbani huo ni uchafu..
  •Kitanda kikiwekwa jikoni ni uchafu tayari
  • makopo ya maji yaliyotumika kuwekwa kabatini ni uchafuu

  • 548 views
  • 2 answers
  • 0 votes
 • Senior Asked on September 19, 2019 in Elimu.

  Neno kiporo linamaanisha ninkitu chochote ambacho hakijafikia utimilifu wake,,yaani hakijaisha, hakijamaliziwa,,,kimebaki,, ni baki la kitu ,,,

  Neno hili pia linaweA kumaanisha deni…

  This answer accepted by Augustino mruma. on September 19, 2019 Earned 5 points.

  • 960 views
  • 2 answers
  • 0 votes
 • Senior Asked on September 19, 2019 in Swali la Kizushi.

  Mashimo ya nyoka pia huwa katika mashamba ya viazi kwani mara nyingi ni maeneo yenye mchanga sana na ni laini kufukua pindi viazi vinapokomaa na kupasua udongo….kwaiyo panya wanavyoingia kula viazi huacha mashimo na nyoka baadae kufanya makazi…

  • 315 views
  • 2 answers
  • 0 votes
 • Senior Asked on September 19, 2019 in Biology.

  NDIO inawezekana kabisa kuzaliwa mtu na moyo ulioelekea upande wa kulia yaani ncha ya moyo kuwa upande wa kulia (its a congenital anomaly) kitu ambacho si cha kwaida kwani kwa kawaida ncha ya moyo hupointi upande wa kushoto ,, hali hii ambayo mtu huzaliwa nayo kitaalamu huitwa DEXTROCARDIA..ambayo hata hivyo haiuwi mtu mwenye ugonjwa bali huhatarisha maisha ya mgonjwa kwani husababisha matatizo mengine ya moyo ambayo yanachangiwa na hali hiyo,..

  RE: Inawezekana kuzaliwa na moyo ulioelekea kifua cha kulia?

  Hali hii pia huweza kujitokeza katika ugonjwa bao hujulikana kwa jina la kitaalam kama SITUS INVERSUS hali ambayo hufanya ogani za ndani ya mwili nyingi kuwa katika muelekeo wa kinyume na ilivyo kawaida,, hapo pia tunaweza kupata mtu mwenye moyo ulioelekea kulia(dextrocardia)

  RE: Inawezekana kuzaliwa na moyo ulioelekea kifua cha kulia?

  • 477 views
  • 1 answers
  • 0 votes
 • Senior Asked on September 19, 2019 in Ushauri.

  Vizuri kwakua umetambua kinaga naga ni nini chanzo cha tabia ya baba yako mpya ambayo sasa inakaribia kugharimu maisha yenu pia…

  Ushauri wangu ni kwamba nikiangalia na kutafakari kwa makini historia fupi ulioitoa hapo ni uwazi kabisa kua baba yako anasumbuliwa na magonjwa ya kisaikolojia ambayo yanamtesa na yanampelekea kuangukia katika pombe akiamini ndilo kimbilio lake….Sasa inabidi mumuwahishe haraka kwa wataalam wa saikolojia au wewe kama wewe uende katika maswala hayo na utoe historia hii hii,,,naimani wapo watu wanaweza kulitatua hili…

  • 509 views
  • 1 answers
  • 0 votes
 • Senior Asked on September 15, 2019 in Swali la Kizushi.

  Maji ndani ya nazi yale ni saspensheni inayojumuisha vimelea ya uzalishaji vya ndani ya nazi (endospem nuclei) na virutubisho (nutrients) ambavyo nazi hutumia kukua na kuishi…
  Hivyo maji haya yanakuwepo tangu kutungwa nazi na baada ya vimelea hivyo kukomaa( mature) hutengeneza seli ambazo hujijenga katika kuta za nazi, na ndio watu hutumia kama chakula…
  Hivyo kwa ujumla na weza kuzungumza hivyo…

  • 617 views
  • 1 answers
  • 1 votes
 • Senior Asked on September 13, 2019 in Magari.

  Gari ni kali,,lakini kwenye ubora ndo sijui maana ndo kwanza mpya kwahiyo tutapata majibu kwa watakaotumia…..lakini kwa historia ya kampuni ya landrover ili gari lazima ni bora sana tu…

  • 404 views
  • 2 answers
  • 0 votes