-
Ndege wengi wafugwao kama kanga,bata na kuku hawapai kwa nini?
- 32 views
- 0 answers
- 0 votes
-
Nna ndugu yangu anatamani awe rubani, lakini familia yake haina uwezo wa kumsomsha, je kuna wafadhili?
- 70 views
- 1 answers
- 0 votes
-
Sauti inayotoka angani wakati wa radi husababishwa na nini haswa? na pia ningependa kujua radi inatokea vipi?
- 300 views
- 1 answers
- 0 votes
-
Umuhimu wa elimu ni upi?
- 250 views
- 3 answers
- 0 votes
-
Mitanda ya kijamii ni vyanzo vya wanafunzi kufeli??
- 223 views
- 1 answers
- 0 votes
-
Ili nisajiliwe NIDA na nipate kitambulisho changu cha utaifa, nifanyaje?
- 371 views
- 1 answers
- 0 votes
-
Elimu uliyonayo, mfano degree au diploma imekupa uhakika wa kufanikiwa? Au ni mzigo tu?
- 217 views
- 3 answers
- 0 votes
-
kwanini tunaenda shule kusoma ?
- 160 views
- 2 answers
- 0 votes
-
Ukijaribu kusimama sehemu moja kwa mda mrefu basi unachoka sana ila ukitumia mda huo huo kutembea hata haichoshi. Kwanini?
- 172 views
- 1 answers
- 0 votes
-
Nchini China kosa la kuibia mtihani adhabu yake huweza kufika hadi miaka 7 jela. Je kwa upande wetu serikali inaweza …
- 189 views
- 1 answers
- 0 votes