BAADAE ni baada ya mda gani

Ivi mtu anapokwambia baadae anakuwa kamaanisha ni baada ya mda gani

Sophomore Asked on November 17, 2019 in Swali la Kizushi.
Add Comment
1 Answer(s)

Hahaa umenifurahisha sana, baadae ni neno la waswahili ila halina muda kamili unaoeleweka.

Professional Answered on November 17, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.