basi zipi ni bora zaidi A.zhongtong B.higer C.yutong

Answered

basi zipi ni bora zaidi A.zhongtong B.higer C.yutong

Junior Asked on July 18, 2019 in Magari.
Add Comment
3 Answer(s)
Best answer

zhongtong

Junior Answered on September 12, 2019.
Add Comment

Duuu kwenye ubora wa mabasi sifahamu sana…lakini aina hizo zote nimeshawahi kupanda,,lakini higer ndo kiboko yao bwana, yani kwanzia muonekano adi confortability iko juu….

RE: basi zipi ni bora zaidi A.zhongtong B.higer C.yutong

Senior Answered on July 19, 2019.
Add Comment

Kutokana na uzoefu, Higer inauwezo mkubwa wa kustahimili mikiki ya Bongo. Yutong na zhongtong Engine na Gearbox yake hakuna uhakika wa kukaa mwaka na nusu kabla hujabidili kimoja wapo system nzima. Wamiliki wengi wa yutong na zhongtong huwa wanabadilisha kufunga Engine na Gearbox za Scania

Sophomore Answered on July 25, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.