Bayern Munich inaweza kuwa club sahihi kwa coutinho ?

Hakuendana na Barcelona vp uhamisho wake wa saiz?

Junior Asked on August 20, 2019 in Sports.
Add Comment
1 Answer(s)

Club ya Buyern ni sahihi kwa Coutinho mana anaenda kucheza namba ambayo upi wazi imeachwa na James Rodriguez pia Coutinho anawecheza nafasi tano kuanzia kiungo mkabaji hadi kama Forward namba 10.

Club ya Barcelona ilikuwa sio sahihi kwake kwa msimu huu kwani kocha na Raisi wa club wote hawana imani na mchezaji hivyo asingeweza pata namba kwa Dembelee au Griezman au Rakitic au De Jong kwani wote hao ni wachezaji muhimu na kipenzi cha Valvede.

Tofauti na Buyern labda angeenda Chelsea au Man U angeondoka Pogba au Tottenham angeondoka Eriksen sasa wote wamebaki hivo inabaki kuwa nafasi ni Bayern

Senior Answered on August 20, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.