Duara na Mviringo ni sawa? 😂

Answered

Hapo sasa, mviringo na duara tofauti ipo? 

Sophomore Asked on November 6, 2019 in Swali la Kizushi.
Add Comment
1 Answer(s)
Best answer

Kama nomino, tofauti kati ya mviringo na mduara ni kwamba mviringo ni umbo kamili lenye ujazo,mfano yai  wakati mduara ni kielelezo cha kijiometri cha 2D, kama inavyoonekana hapa;

RE: Duara na Mviringo ni sawa? 😂

Professional Answered on November 7, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.