Elimu inasaidia nini ??

Umuhimu wa elimu ni upi?

Junior Asked on August 16, 2019 in Education.
Add Comment
3 Answer(s)

Elimu inatusaidia mambo mengi sana ndio maana walisema elimu ni msingi au ufunguo wa maisha.
-katika afya, elimu inatuwezesha kujua jinsi gan tunapaswa jikinga na magonjwa, na kujiongezea muda wa kuishi.
-katika biashara na uchumi, elimu inatuwezesha kujua jinsi gan unaweza kupunguzA hasara na kuongeza faida
-katika sanaa; elimu inakufanya uongeze ubunifu, na kuifanya kazi yako katika levo ya juu
-katika mahusiano au ndoa; tunaona elimu inatuwezesha kujua uzaz wa mpango, kitu kanachosaidia wazazi kuweza hudumia watoto vzuri , pia kupunguza ongezeko la watu
-katika michezo pia tunaona ili kuwa na matokeo chanya watu wanatafuta walimu waliobobea ili kupata elimu ilio bora na mafanikio bora
-hata katika dini, tunafundishwa chimbuko au asili ya dini zetu, ii inasaidia kutuimarisha katika misingi ya Imani zetu

Junior Answered on August 16, 2019.
Add Comment

Elimu inatusaidia kwanza kujitambua wenyewe, kutambua mazingira yanayotuzunguka ili kuweza kukabiliana nayo katika kuzungusha gerudumu la maisha…

Senior Answered on August 17, 2019.
Add Comment

Kwangu mimi sinatifauti sana na bwana john au mruma ika Elimu inatuandaa na mabadiliko ya mbeleni na changamoto zake, ndio maana kama sasa Mataifa mengi yameanza kujiandaa na matumizi ya renewable resources kuliko kutumia non renewable hii ni kutokana na watu kuwa na elimu ya madhara ya badae iwapo tutaendelea kutumia vibatmya resouyambazo zipo scarce and limited Kma Coal, hivo elimu inatusaidia kuweka fanya maandalizi ya kujiandaa na mazingira ya badae na sasa, kupitia mkusanyiko wa data

Senior Answered on August 17, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.