Hivi Dunia ingekuaje kama binadamu wote tungeamini Mungu mmoja?

ukitizama dunia hii ya sasa ina dini nyingi na nyingine kibao zinazidi ibuka, inasadikika ukristo una waumini zaidi ya (bilioni 2.1), uislam  (bilioni 1.3) na hindu  (milioni 900).

Professional Asked on November 12, 2018 in religion.
Add Comment
2 Answer(s)

Huenda ingekuwa ni dunia yenye amani au vurugu. Kwani dini tuliyoletewa na wazungu ” Kikristu” imelenga zaidi kwenye amani na kupinga dini zetu za asiri ambazo tulikuwa tunatoa binadamu wenzetu kafara na vitu vyakutisha vingine vingi, na dini iliyoletwa na Waarabu pia wao inasisitiza amani ila wapo upande mwingine wanao amini “To die for what you believe is a crime” hapo tunazungumzia Jihads ambao wao wanaongozwa na viongozi wa dini kufanya mabaya na hata baadhi ya mataifa yao mkristu hauna haki, mahakama za kadh bado zipo ambapo makosa ya ubakaji na makosa mengine watu wanauliwa adharani kwa kupigwa mawe. Hivyo kuamini dini moja ingekuwa na matokeo mawili kwa kuangalia dini mbili kubwa Ukristu na Uisilamu. Matokeo yangekuwa ni Amani kama Vatican au vita kama Syria. Japo sisemi dini ya Kiislamu ndio invepelekea vita ila ingepelekea matokea mawili kati ya Dubai au Syria.

Senior Answered on July 20, 2019.
Add Comment

Kwa mimi nahisi kusingekua hamna tofauti yoyote kwa sababu ifuatayo..
° kama watu hawahawa wanaabudu miungu yao na wanaishi kama walivo ,hata kama wote wakinuabudu mungu mmoja sidhani kama tabia zao zitabadilika kuwa nzuri sana au mbaya sana kwa sababu hamna dini inayoshawishi watu wafanye mabaya lakini mambo mabaya na yakutisha yanatokea na yanafanywa na hawa hawa watu wenye dini mbalimbali..

Senior Answered on July 25, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.