Hivi kuna mchoraji au kampuni maarufu ya kuuza picha za kuchorwa nchini?

Tanzania tuna sanaa inayotambulika dunia nzima (Mfano tinga tinga), swali linakuja Hivi kuna mchoraji au kampuni maarufu ya kuuza picha za kuchorwa nchini?

Professional Asked on September 19, 2019 in sanaa.
Add Comment
2 Answer(s)

Swali lako zuri. Kama ulivyokwisha mtaja tinga tinga mwenyewe. Huyu ana duka lake, bonyeza hapa kutazama.

Ila hivi karibuni kuna duka la mtandao la kuuza sanaa litaanzishwa na Hoclay Mganga, Mtanzania aishiye marekani. DUka lake litaitwa wagonga art, kulingana na the citizen duka hilo tayari limefunguliwa ila kila nikitafuta kikoa chao sikipati.

Freshman Answered on September 20, 2019.
Add Comment

kwa hapa nchini bado sijaona
zaidi tu ni vikundi vya vijana wachoraji wanaojikusanya kufanya sanaa yao kwa pamoja

Junior Answered on September 25, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.