Hivi kwa nini vfx kwenye movies za kibongo hazivutii, hakuna wataalamu wa vfx au wanafanya ili miradi kwa vile wanaona kama hamna soko zuri la filamu

Answered

Hivi kwa nini vfx kwenye movies za kibongo hazivutii, hakuna wataalamu wa vfx au wanafanya ili miradi kwa vile wanaona kama hamna soko zuri la filamu

Freshman Asked on December 19, 2019 in Visual effects.
Add Comment
1 Answer(s)
Best answer

Wataalamu tupo 😂😂✊🏼 Tatizo sikijui haswa ila nahisi wataalamu wengi wa vfx ni ‘freelancers’ kwa hiyo hawajaajiriwa na kampuni za filamu, hivyo basi kumpata freelancer inagharimu.

Sababu nyingine mi naona ni mazoea tu, sekta ya filamu imejaa watu wanaofahamiana kwa hiyo vipaji vipya kuingizwa katika sanaa inakuwa ngumu.

Sababu zingine muhimu ni bajeti na muda. Filamu yeyote yenye bajeti nzuri na muda mrefu wa maandalizi nadhani sio rahisi kuja na makosa katika ‘visual effects’ labda hiyo filamu iwe imefanyika na timu ndogo ikiyokosa vipaji/timu sahihi

Professional Answered on December 19, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.