Hivi muziki wa bongo umeshuka, mbona atupo Collabo za nje?

Msanii Burna Boy ametangaza kuachia Album ya AFRICAN GIANT lakini ndani hakuna msanii wa bongo. Pia album ya davido inayofata hakuna msanii wa bongo. Hapo achana na Album ya THE GIFT.

Senior Asked on July 27, 2019 in music.
Add Comment
1 Answer(s)

Tatizo bongo hapa kila mtu anajikuta ni msanii kwa sababu ya njaa zetu kwahiyo hata wasio na vipaji wanajiweka tu na ndio wnaoharibu muziki wetu…
Lakini ukiangalia dhahili muziki wa bongo unatokewa kupendwa sana barani africa hata nje sasa tukioewa collabos nyingi wanaogopa tutawafumika..
Umaskini pia haubaki nyuma kama sababu
Hatupo serious na mambo tunayoyafanya…
Wasanii wa hapahapa nchini wengi hawapendani unategemea wa nje watatupenda…
Tukijirekebisha matabia yetu tutafika mbali…lakini sikuzote usipende kupokea , penda kutoa itakua jambo kubwa kama tutawaalika sana wao kuliko sisi kualikwa

Senior Answered on July 27, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.