Hivi ni kwanini habari mbaya huchapishwa zaidi?

Waandishi wa habari huwa wanashindana katika kuchapisha habari filani mbaya au ya kusikitisha. Kwanini hupendelea kuchapisha habar hizi?

Sophomore Asked on September 24, 2019 in Swali la Kizushi.
Add Comment
1 Answer(s)

nadhani hii ni kutokana na uhitaji wa watu
watu wengi huvutiwa na habari za ajabu na za kusisimua hivo ikitokea lazima watu waitafute zaidi na waandishi wataichapisha zaidi
mfano… habari ya simba kula mtu ikiandika itachukuliwa kawaida ila ikiandikwa habari ya mtu kula simba itakua ya kusisimua na watu wataihitaji zaidi iliowajue ilikuaje

Junior Answered on September 26, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.