Hivi ni kweli bila kwenda chuo maisha ntafeli?

Ujue mimi napenda sana elimu lakini nachukia shule mnooo ndio maana baada ya kuchaguliwa chuo niliacha baada ya wiki 2.  Kwa sasa najishughulisha na graphic designing ingawa hainiingizii pesa nzuri lakini  kazi naipenda sana.

Freshman Asked on November 10, 2018 in Ushauri.
Add Comment
3 Answer(s)

Hapana kufeli au kufaulu kwa maisha sio lazima elimu ya darasani. Kwani elimu inakupa mwongozo ila wewe ndio unatakiwa ujuwe nini unataka na nini kinahitajika kufiki

Senior Answered on July 12, 2019.
Add Comment

Unajua kuna watu walienda chuo na wakamaliza na wanatamani kufanya hiyo graphics design ili wapate hiyo pesa unayopata na kunabwatu waliachaga shule toka tulivomalizaga darasa la saba na wanamaisha na wameajiri watu wengi tu…
Nakushauri ujifunze kujiamini katika kila kitu unachofanya utafanikiwa, lakini usipojiamini na kuwajibika ata hiyo graphic design unayoifanya utaona sio kitu na kuhamia kuwa dereva uber ukidhani ndio utatoboa….weka bidii humohumo utatoboa mwana haina kufeli siku yako inakuja usikate tamaa…

Senior Answered on July 25, 2019.
Add Comment

Ndio/hapana

Freshman Answered on August 10, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.