Hivi umeshawahi kushuhudia msiba wa wamasai!!? 😢

Kama ndio ilikuwaje na kama hapana unadhani kwa nini!?

Freshman Asked on August 2, 2019 in Swali la Kizushi.
Add Comment
2 Answer(s)

Binafsi sijawahi, ila nakumbuka msiba mmoja tu wa mwaka 2011 wa Msaniii wa bongo Flava Abeli Motika alimaarufu kama Mr .Ebbo. Ingawa sikufika kwenye mazishi inasemekana kuwa Mr ebo alizikwa katika makaburi ya nyumbani kwao Masai Camp Olorieni ndani ya manispaa ya mkoa wa Arusha.

Sophomore Answered on August 3, 2019.
Add Comment

Yap nimeshashuhudia mingi tu ya kimasai mfano unaujulikana ndo uo wa mr. Ebo kuna msiba wa Sokoine moringe,,, na mingine mingi tu, sasa sijui ulikua unalenga wapi haswa kwamba wamasai hawafi? Sijui

Senior Answered on August 4, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.