Hivi unafikiri Diamond Platnumz hapa Bongo anapewa sifa kubwa/ndogo kuliko uwezo wake?

Watu wanadai diamond anapewa sifa kubwa kuliko uwezo wakee na wengine wanadai anapewa sifa ndogo kuliko uwezo wake. Je we we unahisi nini?

Senior Asked on September 8, 2019 in music.
Add Comment
1 Answer(s)

naona anapewa kulingana na uwezo wake mana kwa hapa bongo nadhani yeye ndo alama ya muziki kwa sasa na wengine wanafuatia

Junior Answered on September 8, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.