inavyo aminika ni kwamba ukilala chali unaota ndoto za ajabu saa ingine hata kukutwa na jinamizi hivi ni kweli?

na kama ni hvyo mbona mimi nalala chali lkn mambo fresh

Freshman Asked on October 1, 2019 in sayansi.
Add Comment
2 Answer(s)

Ninachojua ni imani yako iyakavo kupelekea kuamini kama tunavoambiwa ni heri kuamini Mungu yupo kuliko kuto amini na ukaenda ukamkuta
Kwahio izo zilikua imani za mababu na mabibi zetu kwenye zile hadithi tulizokua tunapewa

Junior Answered on November 8, 2019.
Add Comment

Sijajua kuhusu ndoto uhusiano upo vipi, lakini kisayansi kitu watu huita jinamizi huwa inaitwa “Sleep paralysis”. Ambayo ni ile hali mtu anakuwa kati ya kulala na kuamka. Hali hii inafanya akili kuwa imeamka lakini viuongo vingine vyote vinakuwa vimelala bado. Moja wapo ya sababu ya Sleep Paralysis ni kulalia mgongo. Hali hii humfanya mtu kuogopa mno na wakati mwingine wengine hudhani kwamba wanafanyia uchawi 😂😂.

Hakuna jinamizi hapo ni hali tu ya kiafya ya ubongo na mwili wako

Sophomore Answered on November 14, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.