Ivi karabai zinamsaada gani katika uvuvi wa samaki ukiachilia mbali kutumika kama nuru ya usiku?

Answered

Wavuvi wengi hupenda kuvua samaki usiku…na huenda na karabai….zinamsaada gani maana hata tochi zina mwanga lakini kwa nini karabai!

Senior Asked on September 10, 2019 in Uvuvi.
Add Comment
1 Answer(s)
Best answer

katika uvuvi wa samaki wavuvi wengi hupendelea kuvua usiku.. kwasababu kuna uwezekano wa kupanda samaki wengi zaidi na matumizi ya mwanga katika uvuvi yanasaidia katika kuvutia wadudu na viumbe wadogo wadodo majini ambao hawa huvutia samaki na kufanya samaki wengi zaidi kuelekea uliko mwanga… na samaki pia imeelezwa kua huvutiwa na mwanga hivo sio mwaka wa karabai tu ni mwanga wowote ule (hasa blue kijana au mweupe) ndomana wavuvi walioendelea wanatumia taa kubwa za LED na wanapata samaki wa kutosha

Junior Answered on September 10, 2019.

we jamaa uvuvi uko kwenye damu 🤣🤣maliza udaktari pls

on September 11, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.