Ivi naweza kupata mwalimu wa PHOTOGRAPHY mtandaoni

Naeza pata mwalimu wa kunifunza online PHOTOGRAPHY

 

Freshman Asked on January 1, 2020 in editing.
Add Comment
1 Answer(s)

Kiukweli kama unatamani kupata kozi ya upigaji picha basi udemy ndio kila kitu, bonyeza link hii kuona kozi za bure za upigaji picha. Lakini kama unahitaji mwalimu wa ana kwa ana hapo nadhani itakubidi ufanye utafiti pia, binafsi sijajua.

Sophomore Answered on January 8, 2020.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.