Ivi ni kwel watu wafupi ni wagomvi??

Ivi ni kweli watu wafupi ni wakorofi??

Junior Asked on December 27, 2019 in Swali la Kizushi.
Add Comment
1 Answer(s)

Watu wafupi sio wagomvi pekee ila watu wafupi na baadhi ya watu wenye ulemavu kama vilema wa miguu, watu wenye kigugumiz n.k huwa wanakuwa na hasira za harka pale mnapokuwa mempishana kauli, kwani wengi wao huamini wanadharaulika.

Senior Answered on January 2, 2020.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.