Wanaotengeneza filamu kama Avengers na Avatar wanatumia software zipi?

Wanaotengeneza filamu kama Avengers na Avatar wanatumia software za kawaida au la?

Freshman Asked on March 11, 2020 in editing.
Add Comment
1 Answer(s)

Nitakwenda kukupa jibu ambalo limejikita kwenye software za kuunganisha vipande vya filamu na sauti bila uhitaji wa kuviedit vipande vyenyewe, kitaalamu mtindo huo unaitwa Non-linear editing (NLE).

Sijajua unaposema ‘hizi hizi software’ unakuwa una maana gani, labda unamaanisha Premiere pro na Final cut? Kivyovyote vile, Hollywood wanatumia software hizi hizi ingawa kabla ya ujio wa Adobe walikuwa wanatumia program nyingi tu ambazo hatuzifahamu. Kwa miongo mingi, wamekuwa wakitumia software iitwayo Avid Media Composer.

Avengers imeeditiwa na Avid, filamu zinginezo ni kama Kingsman: The Golden Circle, Mission Impossible: Fallout na Jurassic World: Fallen Kingdom.

Avid media composer ilitumika kuedit Mission: Impossible – FalloutAvid media composer ikitumika kuedit Mission: Impossible – Fallout

Sophomore Answered on March 20, 2020.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.