ivi ni wapi naweza pata vitabu vya ben r. mtobwa?? hasa hasa vile vya joram kiango

Answered

hivi vitabu natafuta sana ila sijawai vipata

Junior Asked on August 4, 2019 in Ushauri.
Add Comment
3 Answer(s)
Best answer

Pia unaweza endA Maktaba kubwa kama z mkoa au taifa, utapata.

Junior Answered on August 17, 2019.
Add Comment

Ukienda ubungo pale kwenye geti la kutokea mabasi…sasa wewe nyoosha na barabara kama unaenda ubungo plaza utaona upande wako wa kushoto mtu anauza vitabu vingii kavipanga….utakiona kitabu cha kiongo vipo vingi

Senior Answered on August 4, 2019.
Add Comment

ni kiango* bwana agustino ila shukrani sana kwa maelekezo

Junior Answered on August 4, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.