Ivi tanesco inaweza pata mshindani??

Tanesco inaweza pata mshindani katika biashara io??? Kama cocacola na pepsi

Junior Asked on December 27, 2019 in biashara.
Add Comment
1 Answer(s)

Tanesco kupata mshindan inawezekana ila tanesco na dawasco ni mashirika ambayo huduma zake zinalenga jamii moja kwa moja hivyo kuweka katika biashara ianweza fanya mshindan akamuua tanesco na kumfanya mshindan awe monopoly katika soko na hii itakuwa kazi kwa gvt ku control incase huyo new monopoly atakuwa private organization ko zumuni la tanesco kuachwa kama monopoly si sababu serikali haitak kuweka sekta ya nishat kuwa biashara japo ushindan ungemfanya tanesco ajielewe

Senior Answered on January 2, 2020.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.