Ivi ukiwa peke yako ,ni kitu gani ambacho hakiendani na umri wako ( cha kijinga) unafanyaga na unashindwa kujizuia?

Answered

Inasemekana kila mtu anaupuuzi wake pindi anapobaki peke yake…ivi ni kweli!!! Kama ninkweli wako ni upi😂😂😂

Add Comment
5 Answer(s)
Best answer

Miminkitu nachofanyaga nikiwa peke yangu na nashindwa kujizuia kwanza sijuagi ata kama nakifanya nashtukia tu kumbe nakifanya ni KULA KUCHA, yani ishashindikana 😂😂😂😂

Senior Answered on September 3, 2019.
Add Comment

Aisee broda..mi sidhani kama ntaacha kutia mkono kwenye suruali joo. 🤣🤣🤣 yaani hiyo hata nikiwa na watu jomba huwa najisahau. Ila wacha niache tuu maana naona kama ushamba flani hvooo

Sophomore Answered on August 31, 2019.

😂😂😂😂 ni noma sana

on August 31, 2019.
Add Comment

nikiwa mwenyewe napenda sana kuangalia chaneli ya cartoon network kuna katuni kibao nazifatilia ila wakishakuja kuja watu inabidi nibadilishe niangalie mishe zingine.. ila nikimkuta dogo anaangalia pale akitaka kubadilisha kisa kamuona bro namwambia amna we endelea tu kuangalia mi mwnyw apo nafatilia kwa makini kweli

Junior Answered on September 1, 2019.

😂😂😂😂…regular show

on September 2, 2019.
Add Comment

Kucheza zuma nakaratakwa pc basi kama hiyo imeshindikana basi unanikuta na game la kupanga kwa kitochi au CN (Cartoon Network channel)

Senior Answered on September 3, 2019.
Add Comment

Kugombanisha vi miti aiseeeeee hiyo imenikaba nishajaribu hadi kuitaja kwnye sara za toba

Sophomore Answered on September 5, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.