Je million 700 za wabunifu wa shindano la Makisatu mchakato wa kuzigawa umefikia wapi?

Je  million 700  za wabunifu wa shindano la Makisatu mchakato wa kuzigawa umefikia wapi?

Mwanzoni Mwa mwaka huu kulifanyika Mashindano yalitambulika kwa jina la MAKISATU yaliyoratibiwa na Wizara ya elimu, sayansi na technolojia, wakishirikiana na COSTECH, VETA, VYUO VIKUU, na vya Kati. Mwanzo Mwa mwezi wa sita wizara ya elimu ililipotiwa kupokea Tsh 700,000,000 kwa ajiri ya kuwawezesha wabunifu, hivyo wizara ikakabidhi Fedha tume ya sayansi na technolojia COSTECH kwa ajiri ya kugawanya au kupangia mchakato wake. Mpaka SAA miezi miwil imekatika hakuna kilichofanyika wala maelezo yeyote. Swali je  tumesahaulika au? Asante.

By mshiriki Makisatu

 

Freshman Asked on September 5, 2019 in sayansi.
Add Comment
1 Answer(s)

Dah kiukweli  Patrick mimi mwenyewe ni mshiriki wa MAKISATU 2019, sijajua kuwa wanamalengo gani na sisi. Sema tuombe Mungu tu hata hiyo mipango walionayo yakutupa hizo pesa wafanye tuuu! maana tumesubiri sana

Freshman Answered on September 8, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.