Je ni kweli Airbag haitokei wakati wa ajali kama ujavaa mkanda?

Jamaa alipata ajali na Airbag haikutoka. Alipoenda kwenye kampuni ya gari kudai fidia swali la kwanza lilikuwa ni Ulikuwa umevaa mkanda.

Je ni kweli Airbag haitokei wakati wa ajali kama ujavaa mkanda?

 

 

Senior Asked on August 22, 2019 in Technology.
Add Comment
1 Answer(s)

airbag inatokea haijalishi umevaa mkanda au hujavaa… ili katika ajali ikiwa hujavaa mkanda airbag inaweza isikuhimili uzito wao na kusababisha upate majeraha tofauti na mtu alievaa mkanda

Junior Answered on August 23, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.