Je, ni kweli binadamu tunatumia asilimia 10 ya uwezo wa ubongo?

Kuna ule uvumi kuwa binadamu sote tunatumia asilimia 10 tu katika tafakuri zetu za kila kitu, yaani mambo yote haya ya kimaendeleo,sayansi na teknolojia ni matokeo ya asilimia 10 tuu?na nini kitatokea kama tutatumia asilimia 100 ya uwezo wetu?

Professional Asked on November 9, 2019 in Biology.
Add Comment
2 Answer(s)

Kusema kwamba binadam tunatumia asilimia 10 ya ubongo wetu inategemeana tunaongelea Katika uvumi upi. Kisayansi na hasa sayansi ya kibaiolojia hii kitu ni haiwezekani. Kuna kitu katika ubongo wa binadam kinaitwa “Brain cortex” au mda mwingine huitwa “cerebrum”. Hii ni sehem inayofanya kazi ya kufikiria, kuunda na kuelewa. Inapitisha nerves nyingi mno ambazo ziko busy mda wote kupeleka na kupokea taarifa 24/7/365 mpaka pale ubongo unapokufa. Sehem hii hufanya kazi kwa asilimia 100% katika wakati wote. Iwapo zikipungua walau 10% kuna uwezekano ukaanza pata matatizo ya kiafya kama epileptic seizure au brain tumor.

Kwa hapo nadhani ni sahihi kusema kuwa si kweli kwamba tumetumia 10% ya ubongo wetu. Tofauti na hivyo theory hiyo ingekuwa kweli ningesema movie inayoitwa “LUCY” iliyochezwa na Scarlet Johanson pamoja na Freeman Morgan itaelezea vizuri uwezakano wa unachokisema

RE: Je, ni kweli binadamu tunatumia asilimia 10 ya uwezo wa ubongo?

Sophomore Answered on November 14, 2019.
Add Comment

Nikweli tunatumia 10% ispokuw mnyama mmoja tu ambaye ni Dolphin yeye ndo anatumia 20% ya ufahamu wake waakili

Freshman Answered on November 27, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.