Je, ni kweli rafiki ana nguvu ya kubadilisha Tabia na uelekeo wako?

Siku zote wazazi wamekuwa wakiwahimiza watoto wao kuchagua marafiki sahihi kwa kuwa marafiki wabaya wanaweza kushinikiza ubaya kwa watoto wao,je kuna ukweli juu ya hili? ni kweli marafiki wana nguvu kiasi hiki? au tabia ya mtu ni mtu mwenyewe?

Sophomore Asked on November 29, 2019 in Uhusiano.
Add Comment
1 Answer(s)

inawezekana au isiwezekane maana tabia ya mtu ambae tayari ni mtu mzima (18+) sidhani kama inabadilishwa kiurahisi na rafiki tu labda ibadilishwe na vitu kama mazingira,pesa,mapenzi nk. japo rafiki wa kawaida anaweza mbadili mtu tabia/muelekeo kwa ugum sana
ila kwa mtu wa rika la kuanzia miaka 7>20 ivi, ni rahisi tena sana kubadilishwa tabia/mwelekeo kwa rafiki tu maana ni mtu ambae hajajenga tabia binafsi kwenye akili yake

Sophomore Answered on December 15, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.