Je ni kweli risasi inaweza kuuwa mtu aliyekua majini??

Answered

Inawezekana mtu kuuliwa akiwa majini

Junior Asked on February 28, 2020 in Movie.
Add Comment
1 Answer(s)
Best answer

kwanza risasi haiwez kusafiri kwenye maji ikmaanisha haiwezi kuuwa mtu kwenye majin kwan risasi hupinda baada ya kutoka kwenye bullet ,kma ilivyo fanyiwa majaribio na wan physics kwenye channel ya discovery family ,hivyo risasi hupoteza speed na energy kutokana na resistance kubwa ya maji .Na ataikimfikia mtu haiwez penya kwenye mwil kutokana na energy kuwa ndogo na speed kuwa pia ndogo,thanks

Freshman Answered on March 4, 2020.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.