Joto linalozalishwa ndani ya rangi ya Vantablack linaenda wapi?

Rangi nyeusi inasufika sana kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kutoa na kunyonya joto. Kuna rangi mpya nyeusi iligundulika huko United kingdom. Inanyonya 99.95% ya miale yote ya mwanga inayotolua juu yake. Katika fizikia tunatambua kwamba mwanga(miale) ni aina ya nguvu flani inayoweza weza zalisha joto. Sasa je kama ni hivyo na wanasema vantablack haina madhara kwa afya ma imeshatumilka katika BMW X6 vantablack. Swali ni je kiasi cha joto kinachozalishwa na rangi hii kinapotelea wapi?

Sophomore Asked on October 8, 2019 in sayansi.
Add Comment
1 Answer(s)

Inafahamika vizuri sana kwamba kitu cheusi kina sifa ya kunyinya na kutoa vizuri sana joto. Lakini kama mazingira yanayokizunguka yana joto la kuzidi kitaendelea kufyonza joto hilo na chenyewe pia kupata joto.
Kwa vantablack kulingana na wao rangi hiyo wameweza iwekea layer flani kwa chini ambayo inakuwa kama kitu kwenye computer tunachouta heat sink. Kitu hichi kinauwezo wa kupooza joto hili bila kulipeleka mahali popote hivyo kitu kingine kilochopo juu yake kuto athiriwa na joto hilo.

Hivyo joto lote linalofyonzwa na vantblack huishia kwenye heat sink hiyo na kuicha rangi hiyo ikiwa bado ya baridi bila kuwa na joto lenye athari yoyote ile

Sophomore Answered on November 14, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.