Kivipi panado inaweza kuponya homa pamoja na maumivu?

Answered

Kivipi panado inaweza kuponya homa pamoja na maumivu?

Senior Asked on August 9, 2019 in Dawa.
Add Comment
1 Answer(s)
Best answer

Okay; panadol au painkiller inaweza kuponya maumivu kwa haraka ii inatokana na kwamba izi panadol au painkiller zinachofanya ni kuzizuia cells zilizojeluhiwa kuzalisha kemikali aina ya prostaglandins ambayo ndio chanzo cha mwili kuhisi maumivu na wala sio kwamba zinaenda direct kwenye ngozi au jeraha au source ya maumivu.

Mwili wako unapokua na jeraha cells zinatoa kemikali iitwayo prostaglandins; ambapo nerve endings zipo sensitive ktk io kemikali kwaio zinaisafilisha adi kwenye ubongo. Ambao unafanya kazi ya interpret nakuludisha jibu kwa njia io ya nerves. Kwamba Yow! Ilo jeraha linauma.

So painkillers zinafanya kazi na cells kuzuia uzalishaji ya io kemikali isababishayo maumivu

Junior Answered on August 13, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.