Kuagiza bidhaa mtandaoni kupitia mitandao ya kijamii na platform kama E-bay, Kikuu na Amazon, Changamoto gani imewahi kukuta?

Umewahi agiza au kufanya manunuzi mtandaoni, je kitu gani cha ajabu ulifanyiwa na changamoto gani kubwa umewahi pata?

Senior Asked on September 30, 2019 in Technology.
Add Comment
3 Answer(s)

Kuchelewa kwa mzigo, kupokea toy, kupotea kwa mzigo bila sababu za kueleweka

Freshman Answered on November 5, 2019.
Add Comment

Changamoto ni nyingi aisee
1 kuletewa kitu sicho ulicho agiza kwasababu picha zinatudanganya mengi
2 bidhaa kua na ubora ndogo(low quality) ubora wa kitu
3 kutokujua size yakoo na inchi zingine maana inabidi kujua hilo ni heri kuletewa kubwa utapunguza kulingo ndogo
4 kutokua na mawasiliano kati ya mnunuaji na muuzaji hii pia ni changamoto
5 lugha kutokuelewana hii pia ni changamoto kutokuelewana lugha kinakuja kitu sicho
6 mzigo kutofika kwa wakati hii pia ni changamoto kwa watu wengi atuna uvumilivu mfano kikuu unaagiza bidhaa leo inaweza chukua ata mwezi na kusahau juu
7 kukataa kubadilisha mzigo hasa kama umekuja sivo hapa ndo wauzaji wengi wanaweka mpaka vipingamizi kua hawakubali
Asante

Junior Answered on November 8, 2019.
Add Comment

Changamoto pekee imenikumba ni kucheleweshewa mzigo. Nimetumia Amazon, Ebay, Aliexpress pamoja na kikuu. Kati ya hizi nimefurahishwa zaidi na Amazon pamoja na Ali express

Sophomore Answered on November 14, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.