Kwanin hii swahiliqa wasiandae application waweke play store?

Kwanin hawa swahiliqa msiandae application muweke play store na mkachagua kutumia blog ya kawaida tu

Sophomore Asked on August 25, 2019 in Technology.
Add Comment
1 Answer(s)

Hili ni swali ambalo tumekua tukipokea sana hivi karibuni. Kiukweli sasa tuko kwenye hatua za wmanzo mno kuandaa app, ila timu yetu ipo katika mkakati wa ku’design’ muonekano wa app hiyo.

Design ikikamilika basi tutaitangaza katika jukwaa hili, labda kwa makadirio ya haraka kufikia mwaka 2020 basi app inaweza ikawa tayari kwa watumiaji wa Playstore na iOS.Asante

Professional Answered on August 25, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.