Kwanini meno ya utotoni hulegea na kung’oka?

Tukiwa watoto nadhani wote tulipitia kila kipindi cha kutolewa meno yaliyolegea, binafsi huwa nacheka sana nikikumbuka jinsi ilivyokuwa shughuli kuning’oa meno yangu enzi hizo. Sasa, swali linakuja. Kwanini hulegea na kung’oka? na kwanini tukikua huacha?

Professional Asked on September 13, 2019 in afya.
Add Comment
2 Answer(s)

Hulegea na kung’oka ili kuruhusu meno ya ukubwa kuota.Kwani hayo meno yanayong’oka huwa ni meno ya utoto.pia kumbuka kuwa mtoto akifikisha umri wa miaka sita meno yake huishiwa makali

Freshman Answered on December 19, 2019.
Add Comment

kaka meno ya utotoni hulegea na kung’oka kwa sababu ya ukuaji ,kwan katika umri mdogo huw kna meno kwa lugha ya kingereza n milky teeth ambayo sio imala na yenye nguvu duni hvyo kadri ya ukuaju hutoka na kuyapisha permanent teeth ambayo ndio ya ukubwa ,hvyo tu kwaiy hung’oka il kupisha meno ya kudumu

Freshman Answered on February 28, 2020.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.