kwanini sayari zote ni za mviringo?

Ujue nimejikuta najiuliza hili swali, jamani kuna mwenye jibu?

Sophomore Asked on September 28, 2019 in Swali la Kizushi.
Add Comment
1 Answer(s)

Sayari zote ni za mviringonkwa sababu ya nguvu tunayoita “Gravity”. Nguvu hii ina weka mvutano kama wa sumaku ambao upo sawa katika kila pande ya sayari, hivyo kupelekea umbo la mviringo la sayari hizi.
Chukulia spoke za baiskeli ambazo zinashilia tairi katikati na kufanya libaki kuwa duara. Ukitoa spoke zile tairi hupindi. Na ndivyo hivyo nguvu ya gravity inafanya katika sayari zote.

Sophomore Answered on November 14, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.