Kwanini tunaenda shule kusoma?

kwanini tunaenda shule kusoma ?

Freshman Asked on July 27, 2019 in Education.
Add Comment
2 Answer(s)

Wakati Socrates anaanzisha formal education, yeye shule ilikuwa ni mahala anapoweza wafunza wanae watakaa na kujifunza vitu ambavyo ni muhimu kwa ajili ya badae na wasikae kupoteza muda kwenye mambo mengine. Ila badae watu walipo adopt wakaweka shule kama sehemu ya kwenda kujifunza mambo ambayo yanahusu zamani, sasa na badae. Na kufanya watu kupata knowledge kuhusu mambo ya ulimwengu kwa ujumla.

Senior Answered on July 27, 2019.
Add Comment

Tunaenda shule kusoma ili kuutambua ulimwengu unaotuzunguka na mambo yake yote ili tuweze kukabiliana nayo…

Senior Answered on July 27, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.