Kwanini Vinywaji vya Coca cola haviuzwi Cuba na North Korea?

#TUMESIKIA Coca Cola inauzwa karibia mataifa yote duniani isipokuwa mataifa mawili North Korea na Cuba.

Senior Asked on July 14, 2019 in biashara.
Add Comment
1 Answer(s)

Kwa sasa, nchi pekee ambazo Coca haiuzwi wala kununuliwa ni Cuba na Korea kaskazini ambazo zimewekewa vizingiti/vikwazo vya kiuchumi na nchi ya marekani (Cuba Tangu mwaka 1962 na Korea kaskazini tangu mwaka 1950). Ila hio haimaanishi kuwa hata usake vipi vinywaji vya Coca utakosa! La hasha..Vinywaji vya Cocacola huuzika katika nchi hio kupitia masoko haramu au ‘black market’

Sophomore Answered on July 16, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.