Kwann asilimia kubwa ya makundi ya mziki hayadumu apa chini Tanzania

Answered

nini sababu kuu ya utengano 

Junior Asked on July 27, 2019 in music.
Add Comment
3 Answer(s)
Best answer

Kuna sababu nyingine ni kukuwa kwa mitazamo tofauti baada ya malengo ya kuanza kwa grupu kufikiwa au kufeli.
Pale grupu linaanza wanachama huwa na maleng yao, ila baada ya kutimiza au kufeli kutimiza malengo. Hapo lazima kutakuwa na mitazamo na maalengo tofauti kwa kila member. Hapo ndipo kuvunjika kwa kundi huanza. Mfano katika One direction baadaa ya kushikaa dunia nzimaa, moja ya member wao akasema ni wakati kwake kufanya kama Solo artist.

Senior Answered on July 27, 2019.

Msanii huyo alikuwa ni Zayn Malik alisepa 2015.

on July 27, 2019.
Add Comment

Makundi mengi huvunjika sababu ni usimamizi na kutokuwa na mikataba mizuri. Kuna baadhi ya magrupu huanza kama wana mfano Yamoto na O.M.G hivyo mziki unapokuja kuwa serious anayefaidika ni meneja tu na wasanii wanapata kidogo.

Senior Answered on July 27, 2019.
Add Comment

Makundi mengi huvunjika mimi naona kwa sababu ya kutokuelewana baina ya makundi mawili
1. Management na wasanii wasipoelewana na kuwatimizia yale wanayoyataka wasanii wao kundi hilo haliwezi kudumu
2. Wasanii wao kwa wao…kiukweli kuna wasanii wanakuaga na uwezo zaidi ya wenzao katika kikundi choxhote kile sio muziki tu, sasa msanii akianza kuleta dharau kwa wengine kuna hati hati ya kutokea matabaka na hatimaye kundi kufa

Na hizi ndo sababu za makundi mengi tanzania kufa , siyataji lakini jibu liko wazi😎

Senior Answered on July 27, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.