Kwanini mziki wa Afrika Magharibi unakua zaidi duniani ukilinganisha na mziki wa sehem zingine za Africa

Kwann Africa magharibi pekee?

Junior Asked on August 18, 2019 in music.
Add Comment
1 Answer(s)

Sababu kubwa ya muziki wa West kukuwa kwa Africa ni kutokana na wao kuwa na maendeleo na idadi kubwa ya watu zaidi na mapema kuliko pande zingine za Africa,.

Ila sababu za kukuwa na kufika nje ya Africa ni kutokana na usimamizi bora wa kazi zao, mfano Wizkid Africa yupo chini ya Starboy ila Ukienda Marekani ana management yake, Ulaya ipo, ila Uingereza anayo ambayo ninkwa ajili ya UK tu, ukija Asia pia ana management yake. Hivo rudi kwa wasanii wetu hawanaga kabisa mfano Mondi manager wake wa kimataifa ni Salam na salam hiyo kafungiwa kufanya na kuingia USA, ko ndio maana akiwa USA huwa anasimamiwa na meneja wa Wizkid.

Pia wao wanamashabiki wengi nje aliwahi sema Vanessa mdee kuwa show zao kama za One Africa huwa 3/4 ni West na ikiyobaki ni South na East, hivyo hata soko inamaanisha wao lipo kubwa.
Ko sababu kubwa wenzetu kufika mbali ni usimamizi na kujituma kwa wasanii.

Senior Answered on August 18, 2019.

Aisee umejibu barabara kabisa 😂🙌🏼

on August 18, 2019.

Nimeupvote

on August 18, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.