Kwann wanafunzi wa vyuo vikuu wanaongoza kwa udanganyifu katika vyumba vya mitihani

Elimu ya juu

Junior Asked on August 21, 2019 in Elimu.
Add Comment
2 Answer(s)

Elimu ya juu bana risk ni kubwa, yani unapofeli katika level za chini adhabu ni viboko na unaenda darasa linalofata. Ila huku elimu ya juu ku cheat kupo sana sababu ukifeli UE au hata Test ina effect kubwa katika mwisho wa mwaka na unapewa nafasi moja ya kufanya marekebisho na ukishindwa unaweza rudia mwaka au chuo kikaisha.
Hivyo watu kuhofia kupoteza muda wao na nguvu zao kwa mask 16 ni bora waingie na vizinga na ijulikane badae.

Ndio mana adhafu za ku cheat chuo ni kufukuzwa na huenda ukawekewa vikwazo vya kutofanya usajili kwa kipinfi flani. Yani adhabu ni kubwa sana compare to primary na secondary level.

Senior Answered on August 21, 2019.
Add Comment

Ki ukweli ni kua wanafunzi wengi wa elimu za juu wanashika mambo mengi ukiachilia mbali elimu iliyowapeleka chuoni…vitu vinavowapotezea muda na kunikuta wakiweka masomo kitu cha ziada na mambo mengine kuyapa uzito wa elimu..
Sasa pata picha kitakachotokea katika mtihani,,, ni hujuma mzee, watu wanapiga chabo sio poa ..
Wengine walienda kwenye nyumba za starehe siku moja kabla ya mtihani,,, kinachofaata ni udanganyifu tu hakuna namna…

Baada ya pepa sasa mambo no kama ivi😂😂😂

RE: Kwann wanafunzi wa vyuo vikuu  wanaongoza kwa udanganyifu katika vyumba vya mitihani

Senior Answered on August 22, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.