Kwann wasanii wa muziki hawadumu katika managements zao

Answered

Chanzo ni maslai au mziki hauwalipi

Junior Asked on July 27, 2019 in music.
Add Comment
2 Answer(s)
Best answer

Wanasema mtu ukiwa na njaa kali unaweza u kala hata majani na ukayasifia kua ni matamu kweli,, lakini ukila chakula kizuri unayakana majani yale…
Ndivyo hata kwenye management wasanii wengi baada ya kupata vijinsenti na ushauri mbaya kutoka kwenye watu wanao muwinda na kumuahidi donge nono husahau fadhira (kama binadamu wengi tunavyofanya) na kuanza kutafuta sababu na ubaya wa watu waliokusaidia ili tu uondoke, na Tanzania kinachotuponza ni uchumi wetu umaskini sio jambo jema ,,kuna watu wanawakana adi wazazi wao kwaajili ya pesa kwahiyo sio ajabu ata kwa msanii kuwakana wliomtoa!

Senior Answered on July 27, 2019.
Add Comment

Wasanii wengi wanasaini mikataba wakiwa katika hali mbaya ya kiuchumi, hivyo wanasaini katika makubaliano na uhitaji wao wa muda huo. Hivyo baada ya ku hit na kupiga show kadhaa wanagunduwa wanapata kidogo na management inapata zaidi hivyo wanapishana. Na baadhi ya management pia hiwekeza pesa nyingi lakini wanashindwa kufanya promo wasanii na kuwatafitia show, mwisho wa siku wanaona kama wasanii hawazalishi kitu. Mfano Switch na O.M.G

Senior Answered on July 27, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.