Maji ndani ya Nazi Yanatokea wapi? 🤣

Maji ndani ya Nazi Yanatokea wapi? 🤣

Vile nilikuwa napasua nazi nkakumbuka kuna SwahiliQA basi nkapata swali. Enhee jamani maji yanatokea wapi ndani ya nazi? nini husababisha

Freshman Asked on September 13, 2019 in Swali la Kizushi.
Add Comment
1 Answer(s)

Maji ndani ya nazi yale ni saspensheni inayojumuisha vimelea ya uzalishaji vya ndani ya nazi (endospem nuclei) na virutubisho (nutrients) ambavyo nazi hutumia kukua na kuishi…
Hivyo maji haya yanakuwepo tangu kutungwa nazi na baada ya vimelea hivyo kukomaa( mature) hutengeneza seli ambazo hujijenga katika kuta za nazi, na ndio watu hutumia kama chakula…
Hivyo kwa ujumla na weza kuzungumza hivyo…

Senior Answered on September 15, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.