Mandela alifungwa gerezani miaka mingapi?

Answered

INAELEZWA kua Mandela. Alifungwa gerezani miaka mingi sana na makaburu katika harakati za kuupata uhuru wa south africa…

Senior Asked on August 31, 2019 in Historia.
Add Comment
1 Answer(s)
Best answer

alipelekwa gerezani na kukaa kwa jumla ya miaka 27 na ailtumikia kifungo katika magereza matatu tofauti ambayo ni Robben Island, Pollsmoor Prison, and Victor Verster Prison.

Junior Answered on August 31, 2019.

Miaka 27 duuh? Hatariii

on August 31, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.