Nani muanzilishi wa kalenda???

Answered

Nani aligungua kalenda

Junior Asked on December 5, 2019 in Elimu.
Add Comment
1 Answer(s)
Best answer

Mifumo ya kuhesabu siku katika kalenda ipo mingi sana lakini kwa karne ya sasa mfumo maarufu wa kalenda ni ule wa Gregori (Gregorian calendar) uliotambulishwa oktoba 1582 na papa Gregory XIII.

Kalenda ya gregori tofauti na kalenda zingingine kama islamic na Kalenda ya wahibru hii ni kalenda ya jua ikiwa na miezi 12 yenyr miezi ya siku 28-31.

Freshman Answered on December 6, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.