Naweza kusomea urubani kwa msaada wa wafadhili?

Nna ndugu yangu anatamani awe rubani, lakini familia yake haina uwezo wa kumsomsha, je kuna wafadhili?

Sophomore Asked on November 4, 2019 in Education.
Add Comment
1 Answer(s)

swali lako sitalijibu moja kwa moja,Kwa sasa ili rubani aweze kuingia katika soko la ajira atatakiwa kusoma na kupata leseni ya biashara kwa gharama ya Sh136.6 milioni. ila Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe alisema katika kuhakikisha kunakuwa na uwiano mzuri wa marubani wa ndege kati ya wazawa na wageni, Serikali imekipa nguvu Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kusomesha marubani 10 kila mwaka. Wasiliana na NIT watakupa utaratibu zaidi

Sophomore Answered on November 4, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.