Nawezaje kuacha kujichua?

nawezaje kuacha kujichua

Freshman Asked on January 13, 2020 in afya.
Add Comment
1 Answer(s)

Aisee kwanza pole sana ndugu yangu, hilo ni tatizo ambalo hata mimi nilipokuwa kijana mdogo nilijikuta nimedondokea katika hilo janga na sio utani iliniathiri sana kwa kuwa kuna kipindi nilihisi hakuna haja ya mwanamke kabsaaaa. Wakati mwingine nilijihisi mkosaji mbele ya mungu na hiyo kiukweli iliathiri imani yangu.

Sasa baada ya kutambua madhara niliyohisi yanahusiana na kujichua basi bnilitumia kila mbinu kuacha, leo hii najiona nimeacha ila nisikudanganye inatokea kwa nadra sana sio kama zamani karibu kila siku.

Ili uache/upunguze puchu basi jitahidi kuwa bize na kazi au chochote kile yaani usiwe free, epuka kukaa peke yako chumbani kwa hiyo penda kujichanganya, ondoa vishawishi vyote iwe video chafu au picha fulani,

Sophomore Answered on January 13, 2020.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.