Ni kwanini kampuni la huawei waliamua kuzitengenezea simu zao za sasa mifumo miwili?

Ni kwanini kampuni la simu aina ya huawei waliamua kutengeneza simu zao zikiwa na mifumo miwili yaani Hi cloud na Google yaani Hi cloud hutumika hasa kwenye I phone na google kwenye android japo huawei zoote ni za android

Sophomore Asked on August 25, 2019 in Technology.
Add Comment
1 Answer(s)

Sijawahi fahamu kuhusu Huawei kutumia Ios katika simu zake, ilq nacho fahamu Huawei wametangaza kuja na mfumo wa HarmonyOS ni baada ya kufutiwa matumizi ya Android.

Ila sababu ya Google kuwafutia mfumo huo ni kutokana na Huawei kuja na mfumo wa 5G ambapo Marekani wameupinga kwasababu za kiusalama hasa na hii ikafanya Google avunje mkataba na Hiawei.

Senior Answered on August 25, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.