Ni kwanini magonjwa ya sababishwayo na virusi ni magum kutibu ?

Ni kwanini magonjwa ya sababishwayo na virusi ni magum kutibu ?

Magonjwa mengi yanayosababishwa na virusi yamekua changamoto ktk utibikaji wake, nini sababu kuu ya ili?

Junior Asked on August 22, 2019 in afya.
Add Comment
1 Answer(s)

Ni kwa sababu ya sifa za virusi vyenyewe kubadilika badilika kijenetikia( mutations) na hivyo kukosa dawa ya kuvimaliza lakini virusi vingi hudhibitiwa na kinga ya mwili kama hpv(human papilloma virus) hata ukiangalia kwenye mafua ( common cold) ambayo husababishwa na virusi hudumu kwa muda mfupi na hupotea yenyewe…

Antibiotiksi ni nzuei kwa bakteria ambapo huharibu kuta zao za seli lakini kwa virusi ni ngumu maana uzio wa seli zao ( membrane) unafanana na ule wa seli za binadam( mimic host cells) na hivyo kuleta ugumu kuwatageti…

Senior Answered on August 23, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.