Ni kwanini waajiliwa katika maofisi hasa benki na serikali hupenda kusema mtandao hausomi?

Answered

Nashindwa elewa ni kwanini kila mitambo yao ikifeli wao husema “mtandao haupo” au “mtandao unasumbua”. Je ni kwamba wao hawatumi hii mitandao tunayotumia sisi au kuna kitu kingine nyuma ya pazia?

Sophomore Asked on July 24, 2019 in database.
Add Comment
1 Answer(s)
Best answer

Swali hili ninzuri sana kwani watu wengi maswahibu haya ya kucheleweshewa huduma au kukosa kabisa kisa hii mitandao…kwa kawaida maofisi mengi wanatumia mitandao kwa njia wire mkonge (fibers) na kuna watu ambao kazi yao ni kuangalia mfumo mzima wa mtandao na vifaa vyake(it hao)….Sasa wanaotumia mitandao hii ya cable ni ofisi nyingi nahupelekea mtandao kupungua kasi ndio maana utakuta mtandao unakasi usiku kuliko mchana, kwahiyo wanavosema mtandao uko chini wakati mwingine tatizo ni hilo…lingine ni tatizo la hao wanaosimamia wanakua hawana ujuzi wa kutosha wa kuinstal ii mitandao ndio maana kila siku mahali pengine utakuta wanaangaika kurekebisha kila siku…sasa wafanyakazi wengine hawana kosa kwani kuna watu wamesomea na bado wanazingua

Senior Answered on July 25, 2019.
Add Comment
  • RELATED QUESTIONS

  • Your Answer

    By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.