Ni Kwel matumizi ya dawa aina za p2 huleta madhara katika mfumo wa uzaz wa mwanamke..?

Ni chanzo ya madhara hayo?

Junior Asked on August 19, 2019 in Dawa.
Add Comment
1 Answer(s)

Jibu ni hapana kama Postinor-2 itatumika kama ipasavyo.

Ila wale wanawake ambao hutumia P2 (hivi vidonge ni tu kama uzazi wa mpango wa dharura); zaidi ya mara moja, wanachanganya vidonge na dawa zingine, na hutumia zaidi ya vidonge kumi na mbili kwa mwezi basi wapo hatarini kwa namna fulani. Utumiaji wa P2 kwa muda mrefu unaweza kusababisha hedhi kuchukua muda mrefu au kuwa isiyo ya kawaida. Hivyo basi, Uwezekano wa kuwa mjamzito kwa mzunguko wa hedhi usiyoeleweka ni mdogo au karibu na sifuri. Baada ya kusema hayo namaliza kwa kusema “Jiongeze 😂  “

Junior Answered on August 20, 2019.

Asa Leah nijiongeze kvp 🙆🏾‍♂️😅

on August 25, 2019.
Add Comment

Your Answer

By posting your answer, you agree to the privacy policy and terms of service.